UANDISHI WA BARUA

BARUA

Ni maandishi yenye ujumbe yanayoandikwa kwenye karatasi yanayopelekwa kwa mtu mwengine. Barua zimegawika katika aina mbili ambazo ni barua rasmi na barua za kirafiki

BARUA ZA KIRAFIKI

Hizi ni barua zinazoandikwa kwa ndugu, wazazi, jamaa na marafiki.
Lengo kuu la barua hii ni kusalimiana lakini pia kupmba msaada, kutoa pongezi n.k.

MUUNDO WA BARUA ZA KIRAFIKI 

  • Anuani ya muandishi: Hii huandikwa pembeni kulia ya karatasi. Huandikwa kwa muundo wa wima au mshazari.
  • Tarehe: Huandikwa chini ya anuani ya muandishi.
  • Mwanzo wa barua: Sehemu hii huanza kwa kuainisha cheo cha mpelekewa barua mfano (baba mpendwa) pia ni sehemu ya maamkizi.
  • Kiini cha barua: Sehemu hii huandikwa lengo la barua kama ni kusalimia, kutoa pole n.k.
  • Mwisho wa barua: Hapa huwa ni sehemu ya salamu za maagano.
  • Jina la muandishi: Hapa muandishi huandika jina lake kwa ukamilifu 

Mfano wa barua ya kirafiki



Comments